Carlo Ancelotti Kuja kujifunza Yanga

Carlo Ancelotti Kuja kujifunza Yanga

core22

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
3,974
Reaction score
23,300
Carlo Ancelotti Kuja kujifunza Yanga.
habari za sasa hivi ni Kuwa Carlo Ancelotti kuja Yanga ,kupata course ya Kuchukua Makombe mara 3
 
Mbona hata Simba alishachukua mara 4 Mwana Yanga mwenzangu? Andikeni nyuzi zenye tija Sasa, ya mwaka huu yamekwisha, Yanga ndio baba lao!
 
Mbona hata Simba alishachukua mara 4 Mwana Yanga mwenzangu? Andikeni nyuzi zenye tija Sasa, ya mwaka huu yamekwisha, Yanga ndio baba lao!
Mwana Yanga mwenzangu Hi YANGA YA SASA NI ZAIDI YA SIMBA .
Mzee Carlo Ancelotti kuja kupata moja mbili tatu kutoka kwa viongozi wa Yanga ,kabla ya UEFA fAINAL
 
carlo-04.jpg
 
Back
Top Bottom