C core22 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 3,974 Reaction score 23,300 May 16, 2024 #1 Carlo Ancelotti Kuja kujifunza Yanga. habari za sasa hivi ni Kuwa Carlo Ancelotti kuja Yanga ,kupata course ya Kuchukua Makombe mara 3
Carlo Ancelotti Kuja kujifunza Yanga. habari za sasa hivi ni Kuwa Carlo Ancelotti kuja Yanga ,kupata course ya Kuchukua Makombe mara 3
D DATAZ JF-Expert Member Joined May 25, 2012 Posts 3,799 Reaction score 10,196 May 16, 2024 #2 Mbona hata Simba alishachukua mara 4 Mwana Yanga mwenzangu? Andikeni nyuzi zenye tija Sasa, ya mwaka huu yamekwisha, Yanga ndio baba lao!
Mbona hata Simba alishachukua mara 4 Mwana Yanga mwenzangu? Andikeni nyuzi zenye tija Sasa, ya mwaka huu yamekwisha, Yanga ndio baba lao!
Mkweche II JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 4,160 Reaction score 5,793 May 16, 2024 #3 Mental illness is really
C core22 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 3,974 Reaction score 23,300 May 16, 2024 Thread starter #4 DATAZ said: Mbona hata Simba alishachukua mara 4 Mwana Yanga mwenzangu? Andikeni nyuzi zenye tija Sasa, ya mwaka huu yamekwisha, Yanga ndio baba lao! Click to expand... Mwana Yanga mwenzangu Hi YANGA YA SASA NI ZAIDI YA SIMBA . Mzee Carlo Ancelotti kuja kupata moja mbili tatu kutoka kwa viongozi wa Yanga ,kabla ya UEFA fAINAL
DATAZ said: Mbona hata Simba alishachukua mara 4 Mwana Yanga mwenzangu? Andikeni nyuzi zenye tija Sasa, ya mwaka huu yamekwisha, Yanga ndio baba lao! Click to expand... Mwana Yanga mwenzangu Hi YANGA YA SASA NI ZAIDI YA SIMBA . Mzee Carlo Ancelotti kuja kupata moja mbili tatu kutoka kwa viongozi wa Yanga ,kabla ya UEFA fAINAL
C core22 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 3,974 Reaction score 23,300 May 16, 2024 Thread starter #5
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 16, 2024 #6 Nilifikiri mtoa mada ni Labani og! Kumbe ni mdogo wake!!
de Gunner JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 2,044 Reaction score 4,558 May 16, 2024 #7 Mkweche II said: Mental illness is really Click to expand... Jamaa kala magimbi asubuhi unategemea nini?
Mkweche II said: Mental illness is really Click to expand... Jamaa kala magimbi asubuhi unategemea nini?