Carlo Ancelotti kutimuliwa Bayern .

Carlo Ancelotti kutimuliwa Bayern .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Sina shaka kwamba kwa mwendo huu wa wababe BAYERN huyu kocha hana maisha , hii ni timu iliyozoea ushindi na kusomwa kwenye namba za juu sana .

Kipigo cha mwishoni mwa wiki kutoka kwa Borrusia Dortmund na leo tena kwenye Champions League kutoka kwa vibonde Rostov hakutamuacha salama .

Mytake - wachezaji vikongwe wanachangia timu kuboronga .
 
tatizo Bayern wachezaji ni wale wale sass wamezeeka ndo maana ni mwendo wa dozi tu
 
Jamaa watamvuta yule kocha kinda wa Dortmund maana ndo wanapochuma vifaa vyao
 
Krinsman anapasha.... Wale wa Kuponda hawachelewi kuja na kusema matokeo fake kisa wanataka Kocha Jurgen atue pale Bayern
 
hata mimi timu yangu ya maveterani kuna vijana na wazee kazi ya wazee ni kuupoza mchezo kuona wapi tunashambulia wapi kuna upenyo na vijana kazi yao ni kuweka pressure kwa timu pinzani
 
Back
Top Bottom