Mkuu sidhani kama Carmatec wana ofisi Dar maana hata ikifika wakati wa maonyesho kama ya sabasaba huwa wanahangaika sana kuleta vitu vyao. Ofisi zao ziko Arusha na sina habari za hivi karibuni kuwa wamehamia wapi maana eneo lao limechukuliwa na Mandela Institute of Technology. Nyumbu wako Kibaha na wana website gonga HAPA huko utapata maelezo na contacts zao. Contacts za Carmatec hizi hapa chini.
The Director General, CAMARTEC, P. O. Box 764, Arusha, Tanzania.
Tel: +255272573222 OR +255 27 2553214
Email: carmatec@hotmail.com