Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Moja ya taarifa inayozua gumzo kubwa lililoibuka mtandaoni baada ya mwandani wa habari za udaku, Juma Lokole, kuposti kipande cha video kinachomwonyesha mchezaji mpira wa miguu Aziz Ki akiwa maeneo ya vichakani au kwenye migomba nyakati za usiku, akiwa na rafiki yake pamoja na wanawake wawili .
Hatua hiyo imewafanya mashabiki na wafuatiliaji wa mambo kujadili mahusiano yake na aliyekuwa mpenzi wake, Hamisa Mobeto, huku baadhi ya watu wakidai kuwa huenda kuna msuguano kwenye mahusiano yao kutokana na masuala ya kutopata mtoto .
Hata hivyo, wengine wamemtetea mchezaji huyo wakieleza kuwa eneo hilo lilikuwa la starehe tu kama vile Wavuvi Camp na hakuwa akifanya jambo lolote baya .
Licha ya hayo, mwanahabari wa udaku Carrymastory, ambaye ni rafiki wa Hamisa Mobeto, aliingilia kati mjadala huo kwa kejeli na kuhoji kwa utani iwapo Aziz Ki anataka kuanza ukulima wa migomba.