Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 358
Kinachopigiwa kelele si mkataba maana kuna mikataba ya utekelezaji bado inakuja, kinachowaumiza kiundani ni mnyororo wa thamani pale bandarini vingi watapoteza watu wana makampuni yana secret tenda na TICTS.
Ipo kampuni zimekodisha Trekta, ipo kampuni imekodisha forklift hizi kampuni zilikuwepo kwa mgongo wa TICTS kwa zaidi ya miaka 22 hazipo tayari kuacha hili dili kiwepesi. Wenye hisa ni wanasiasa wetu waliomstari wa mbele kupinga.
Hawa wafanyabiashara hawawezi kuacha hizi nafasi kizembe mkataba wao uliisha toka September 30, 2022 wanaharakati walikaa kimya hawakupongeza. Wakaomba extension ya majadiliano kwa miezi mitatu. Wanaharakati wapo tu kimya sababu wanachakugua kile kinachowafurahisha tu.