Refer article yako kwenye Tzdaima
Naona hoja imetulia, nadhani serikali inatumia "nguvu za hoja" kwenye suala hili hawana wanalosimamia. Maendeleo hayaji kwa misaada ila kwa kufanya kazi, kutoa vipaumbele sahihi, kutumia rasilimali vizuri, kuwa na mipango bora na kuhakikisha inatekelezwa, wananchi na viongozi kuwajibika kibinafsi na kama timu n.k.... Ni hayo tu.
kapu mzee mkjj acha walione nao OIC wakitembezewa. tatizo hili kapu halijai tu tangu lianze kutembezwa na ombaomba wetu JK