Cartoon Yenye Ujumbe Mzito!

Cartoon Yenye Ujumbe Mzito!

Mwana kijiji nami kama nilisikia statements hizo kwa nyakati tofauti.
 
Katuni hii imeenda sambamba na makala yangu leo kwenye Tanzania Daima:

katuni%20jk_phixr.jpg

Shame!!! Utajiri tumeukalia tunabaki kuwa ombaomba!!!! Wanakuja kwetu kuchukua utajiri wetu through the so called investors in madini, gas, uwindaji, hotels, etc. Then baadaye tunaenda kwao uomba? Puuu.

Unajua mbinu walizotumia wakoloni kupata ardhi na vitu vingine vya thamani bado unaendelea but kisayansi kwa sasa? In turn wanatupa vizwadi na the so called misaada, mara malaria, hiv/aids, etc but my friend no free lunches.

Ukweli kitu cha bure unampa mtu wako wa karibu say a friend, family members/relatives na hutogemei pay back. But walio nje ya hapo jua kuna kitu wanataka hapa tena cha kulipa zaidi.

Naamini Tanzania we are blessed with resources za kutufanya kuwa among rich countries of the World na tuachane na kuomba na tujishughulishe na kuboresha uchumi wa ndani ambao ni imara na si tegemezi.

Sasa tusaidiane kupeana mawazo ya namna ya kufanya mageuzi ya uongozi katika taasisi nyeti za kiuchumi nchi hii. We need fresh young blood and energy. Angali haya mashirika ya uwekezaji Tanzania, wamefanikiwa kwa kuwa wameajiri dedicated vijana. Sorry siwapingi wazee vita kwani najua wanastahili ku retire vema but in the managerial posts na vijana wawepo. Si watu waliochoka na kusinzia tu kwenye meza zao.

Kazi ipo.
 
Asiye na msaki atakuwa anatenda haki kama atakwenda kwa mweny miswaki miwili akaomba mmoja. Vivyo pia aliye na mswaki aweza kwenda kuomba dawa ya kupigia mswaki kwa jirani yake kama hana.

Lakini ni aibu na inatisha kuona kuwa mtu mwenye Mswaki na dawa ya meno na hajawahi kuugua meno anakwenda kuomba msaada wa kung'oa meno ili awekewe ya bandia.
 
Pamoja na umahiri wa kipanya, anasifiwa sana kwa kuuelekeza umma kwenye issue/jambo la msingi tusipoteze focus.


Kila mara hutukumbusha mahali mpira ulipo, kwamba refa kapuliza kipenga, kipa kajiangusha, mwanamke aliye uchi kakatiza uwanja au ni half-time - jamaa anasema boli liko hukuuuuuuuuuuuuu!



.
 
Bubu, u got it right... sasa eti mitihani/majibu yanakutwa kwa wauza maandazi jamani tutafika kweli!!??? Kweli Bongo kila kitu dili na hata kama sio dili kitageuzwa kuwa dili kutokana na hali ya maisha na ugumu wa upatikanaji wa fedha kwa wananchi!!

Kaaz kweli kweli!!
 
mtihani sio shida, shida ni majibu
 
Back
Top Bottom