CAS hakuna kesi ya Morison na Yanga

CAS hakuna kesi ya Morison na Yanga

Mashabiki wa Simba hawana tofauti na Haji Manara cha ajabu leo wanamnanga Haji kuwa alikuwa mswahili mswahili, hakuwa professional, akili zenu mnazijua wenyewe
 
Mbona mnadanganywa hivyo nyie mbumbumbu? Ngoma ipo kama kawa Leo na chupi yenu imeanza kumbwela mbwela tu
IMG-20210729-WA0021.jpg
 

CAS: HAKUNA KESI YA MORRISON NA YANGA

Klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Frederick Mwakalebela alisema kuwa wametumiwa barua na CAS wakitaarifiwa kuwa jaji wa kusikiliza shauri lao la kimkataba na Morrison amepatikana
:
Lakini kwa mujibu wa tovuti rasmi ya Mahakama hiyo ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imethibitisha kuwa hakuna kesi yoyote kati ya Morrison na Yanga.
:
Hizi hapa kesi zote za CAS zitakazosikilizwa Feb 12 hadi Machi 1, kesi zote zilizopo CAS zitasikilizwa na hakuna kesi ya Morrison na Yanga
:
12.02.21
CAS 2020/A/7153 Olympique des Alpes v. Alexander Nasim Succar Note & Sporting Cristal
:
15.02.21
CAS 2020/A/7267 AE Larissa FC v. Gordon Petric & FIFA
:
16.02.21
CAS 2020/A/7414 Udinese Calcio S.p.A. v. FIFA
CAS 2020/A/7572 Ukrainian Association of Football v. UEFA & Swiss Football Association
:
17.02.21
CAS 2020/A/7183 Sofiene Moussa v. ACS Petrolul 52 Ploiesti & FIFA
CAS 2020/A/6962 César Payovich v. Difaa Hassani El Jadidi
TAS 2020/A/7292 Moghreb Athletic Tatouan c. Ouattara Bissiriki
:
19.02.21
CAS 2020/A/7281 Koninklijk Diegem Sport vzw v. Club Atletico de Madrid SAD and Dalian Professional F.C. Ltd
:
24.02.21
CAS 2020/A/7370 Antalyaspor A.Ş. v. Aatif Chahechouhe
CAS 2020/A/7151 Zhejiang Green Town Football Club v. Denilson Gabionetta
CAS 2020/A/7330 Navbahor Football Club v. Aleksey Belenkov
CAS 2019/A/6665 Ricardo Terra Teixeira v. FIFA
:
01.03.21
CAS 2020/A/7361 U Craiova 1948 S.A. v. Michael William Baird & Fédération Internationale de Football (“FIFA”) & Romanian Football Federation (“RFF”)
Haya una kusema tena kuwa cas hakuna kesi kama ulivyoandika hapo juu?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom