CAS wametoa siku 11 kwa Wydad kumlipa Msuva Tsh. Bilioni 1.6 anazoidai

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imeitaka klabu ya Wydad hadi kufikia Oktoba 17, 2022 iwe imeshalipa $721,000 (zaidi ya Sh 1.6 bilioni) inazodaiwa na Mshambuliaji wa Tanzania Simon Msuva.

Wydad inapaswa kulipa pesa hizo la sivyo itakabiliwa na adhabu kali zaidi.
 
Hawatamlipa hao wamewafanyia uhuni wachezaji wengi sana, wachezaji wengi waliamua kuacha kudai
 
Hawatamlipa hao wamewafanyia uhuni wachezaji wengi sana, wachezaji wengi waliamua kuacha kudai
Hao wengine hawakwenda fifa kudai ndo maana walidhurumiwa,kwenye hili wakifanya mzaha wanafungiwa kusajili na kuondolewa kwenye mashindano ya kimataifa.
 
Hahahaaa!! Hao jamaa n wadaiwa sungu msuva si wakwanza kushinda madai kwao kuna wachezaji karbu 11 wanaidai iyo timu
 
Pesa wanayo ila awataki kumpa na uwenda wasimpe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…