BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imeitaka klabu ya Wydad hadi kufikia Oktoba 17, 2022 iwe imeshalipa $721,000 (zaidi ya Sh 1.6 bilioni) inazodaiwa na Mshambuliaji wa Tanzania Simon Msuva.
Wydad inapaswa kulipa pesa hizo la sivyo itakabiliwa na adhabu kali zaidi.
Wydad inapaswa kulipa pesa hizo la sivyo itakabiliwa na adhabu kali zaidi.