CAS ya Morrison na Mwakalebela march hii mwenyekuijua

liwaya

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
2,384
Reaction score
1,648
Wadau salam,

Naomba wajuvi watujulishe kwa maendeleo ya kesi ya Morrison na Yanga huko CAS yakoje kwani ilielezwa march hii itatoka ratiba ya vikao na jaji alishateuliwa huo ni upande wa Yanga na mara zote hatujaweza kuona lolote kwenye rataba ya CAS naomba mwenye taarifa baada ya kuingia kwenye website yao au mtuwekee hapa na hiyo web na ushahid ikipendeza. Nawasilisha wahenga

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Subiri Morison acheze na kufunga kesho yake Mwakalebela atatoa update kupitia press release
Huyu tumbotumbo kilo mia nane ni mzigo tu hapo Utopolo
FB_IMG_1614712465183.jpg
 
Wadau salam,

Naomba wajuvi watujulishe kwa maendeleo ya kesi ya Morrison na Yanga huko CAS yakoje kwani ilielezwa march hii itatoka ratiba ya vikao na jaji alishateuliwa huo ni upande wa Yanga na mara zote hatujaweza kuona lolote kwenye rataba ya CAS naomba mwenye taarifa baada ya kuingia kwenye website yao au mtuwekee hapa na hiyo web na ushahid ikipendeza. Nawasilisha wahenga

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Kwa sasa huwezi kumuona tena morisson akicheza,na hata sudan hajaenda kapigwa pini na caf
 
Leta evidence siyo kusema sema tu!
Hata Dilunga, Lukosa Jr, Ame, Ajibu hao Sudan pia hawajaenda utasema wamepigwa pin na Caf?
 
Back
Top Bottom