Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hii site ya TCU inahujumiwa au ni tatizo la kiufundi?Juzi nilikwama kulog in na jana kupitia mtandao huu kwenye jukwa hili nilikuta ushauri kuwa kama umeingiza password yako ikagoma tumia password ya 123456 na kwa kweli nilipojaribu nilishangaa sana kuona ilikubali.
Katika hali hii ni jambo la kushangaza kuona kuna password inayokubali kwenye account za watu wote.Swali hii siri nani kaitoa kama sio TCU wenyewe?Vile vile walishauri ukishafungua kwa kutumia hiyo password ya 123456 ubadilishe password na nilifanya hivyo.Ushauri uko ktk thread moja kwenye hili jukwaa na alieitoa hajasema nani alimpa hiyo siri.
Cha kushangaza leo nimetumia password yangu nilioibadili baada ya kutumia hiyo ya 123456 imenigomea na system inaniambia access denied for salim@.... maneno yanayofuatia yamenitoka kidogo.
Kama kulikuwa na tatizo kwa sisi kutumia password zetu za awali mbona TCU hawakutoa taarifa na hii ya password ya 123456 ambayo kweli inakubali kwenye kila account TCU hawajaitolea ufafanuzi na badala yake tunaikuta humu kwenye mitandao.
Jamani kama kuna mtu amekutana na hili tatizo naomba anijuze ili kama tuko wengi nijue.
TCU tunaomba ufafanuzi juu ya hili vinginevyo hii itakuwa kashifa kubwa na muda ndio umekwisha.