CAS ya TCU nini tatizo au inahujumiwa?Mimi nimekwama kulog in

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hii site ya TCU inahujumiwa au ni tatizo la kiufundi?Juzi nilikwama kulog in na jana kupitia mtandao huu kwenye jukwa hili nilikuta ushauri kuwa kama umeingiza password yako ikagoma tumia password ya 123456 na kwa kweli nilipojaribu nilishangaa sana kuona ilikubali.
Katika hali hii ni jambo la kushangaza kuona kuna password inayokubali kwenye account za watu wote.Swali hii siri nani kaitoa kama sio TCU wenyewe?Vile vile walishauri ukishafungua kwa kutumia hiyo password ya 123456 ubadilishe password na nilifanya hivyo.Ushauri uko ktk thread moja kwenye hili jukwaa na alieitoa hajasema nani alimpa hiyo siri.
Cha kushangaza leo nimetumia password yangu nilioibadili baada ya kutumia hiyo ya 123456 imenigomea na system inaniambia access denied for salim@.... maneno yanayofuatia yamenitoka kidogo.
Kama kulikuwa na tatizo kwa sisi kutumia password zetu za awali mbona TCU hawakutoa taarifa na hii ya password ya 123456 ambayo kweli inakubali kwenye kila account TCU hawajaitolea ufafanuzi na badala yake tunaikuta humu kwenye mitandao.
Jamani kama kuna mtu amekutana na hili tatizo naomba anijuze ili kama tuko wengi nijue.
TCU tunaomba ufafanuzi juu ya hili vinginevyo hii itakuwa kashifa kubwa na muda ndio umekwisha.
 
Nilisema kuhusu hiyo password ya 123456 watu wakanambia wacha wa test, me yangu wala hata sijajisumbua nilisubiri system zikae fresh ndo nilogin, Saivi kila kitu kiko fresh na wala hakuna information zilizo potea. Usipende kufanya mamno bola kuwa na TAARIFA maalumu.By the way POLE and try contact TCU.
 
Hawa tcu sijui wana nini na sisi kwa kweli.wengne tumeandikiwa checking in progress hadi leo.
 
tcu sasa iko safi - ukisahau password kuna maandishi mekundu chini sehemu ya ku log in unabofya na inakupa ka page ka kuingiza taarifa za kukuwezesha kuipa pw mpya LAKINI lazima uingize namba za scratch card uliyoinunua NBC huitajiki kununua ingine.

ukishaingia unauwezo wa kuingiza taarifa zako zinazokosekana kwenye profile yako kinyume na hapo awali ilibidi uwapigie simu bila mafanikio au uende dar ofisini kwao.

Tunawapa heko ingawa bado tatizo la checking in progree kwa wiki na zaidi
 
Hii site ya TCU inahujumiwa au ni tatizo la kiufundi?Juzi nilikwama kulog in na jana kupitia mtandao huu kwenye jukwa hili nilikuta ushauri kuwa kama umeingiza password yako ikagoma tumia password ya 123456 na kwa kweli nilipojaribu nilishangaa sana kuona ilikubali.
Katika hali hii ni jambo la kushangaza kuona kuna password inayokubali kwenye account za watu wote.Swali hii siri nani kaitoa kama sio TCU wenyewe?Vile vile walishauri ukishafungua kwa kutumia hiyo password ya 123456 ubadilishe password na nilifanya hivyo.Ushauri uko ktk thread moja kwenye hili jukwaa na alieitoa hajasema nani alimpa hiyo siri.
Cha kushangaza leo nimetumia password yangu nilioibadili baada ya kutumia hiyo ya 123456 imenigomea na system inaniambia access denied for salim@.... maneno yanayofuatia yamenitoka kidogo.
Kama kulikuwa na tatizo kwa sisi kutumia password zetu za awali mbona TCU hawakutoa taarifa na hii ya password ya 123456 ambayo kweli inakubali kwenye kila account TCU hawajaitolea ufafanuzi na badala yake tunaikuta humu kwenye mitandao.
Jamani kama kuna mtu amekutana na hili tatizo naomba anijuze ili kama tuko wengi nijue.
TCU tunaomba ufafanuzi juu ya hili vinginevyo hii itakuwa kashifa kubwa na muda ndio umekwisha.
hata mimi nililetewa hayo maneno jana sijui "salim password 'YES' ". Nikaitema, nikajarib baadae nikaambiwa TOO MANY USERs. Nimejaribu leo Asubuh, site iko poawa, kama nilivyojaza mwanzo.
 
Back
Top Bottom