MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Nitafurahi sana simba ikishushwa daraja na baadhi ya viongozi wa Tff kulazimishwa kujiuzuruHabari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote za kuahirisha mchezo.
Soma Pia: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu
Kwa upande mwingine, Barua iliyoandikwa na Simba kwenda bodi ya ligi kisha kupelekea mchezo kuahirishwa imewatia hatiani Simba hivyo wote wawili wamebainika kula njama kukimbia derby.
Adhabu inaweza kufuata muda wowote.
Chanzo cha habari. Kama ni Chai uvishwe abayaHabari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote za kuahirisha mchezo.
Soma Pia: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu
Kwa upande mwingine, Barua iliyoandikwa na Simba kwenda bodi ya ligi kisha kupelekea mchezo kuahirishwa imewatia hatiani Simba hivyo wote wawili wamebainika kula njama kukimbia derby.
Adhabu inaweza kufuata muda wowote.
Hili liko Wazi kabisa Wala halihitaji D.Habari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote za kuahirisha mchezo.
Soma Pia: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu
Kwa upande mwingine, Barua iliyoandikwa na Simba kwenda bodi ya ligi kisha kupelekea mchezo kuahirishwa imewatia hatiani Simba hivyo wote wawili wamebainika kula njama kukimbia derby.
Adhabu inaweza kufuata muda wowote.
2.Hili liko Wazi kabisa Wala halihitaji D.
Shida mumesema gali lake bovu, ukilizima kuliwasha ni mtianiWacha tuone, maana Mangungu anahasira muda wote sijui shida ni nini
Unatumia makalio na CAS yako ya mchongoHabari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote za kuahirisha mchezo.
Soma Pia: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu
Kwa upande mwingine, Barua iliyoandikwa na Simba kwenda bodi ya ligi kisha kupelekea mchezo kuahirishwa imewatia hatiani Simba hivyo wote wawili wamebainika kula njama kukimbia derby.
Adhabu inaweza kufuata muda wowote.
Napendekeza ikiwapendeza CAS kolo ashushwe daraja tushindane na washindani halisi kwenye ligi yetu.Povu ruksa.Habari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote za kuahirisha mchezo.
Soma Pia: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu
Kwa upande mwingine, Barua iliyoandikwa na Simba kwenda bodi ya ligi kisha kupelekea mchezo kuahirishwa imewatia hatiani Simba hivyo wote wawili wamebainika kula njama kukimbia derby.
Adhabu inaweza kufuata muda wowote.
Yanga wenye akili wawili tu na wewe haumoUkiweka ushabiki pembeni na kutumia ile akili ya kuvukia barabara bila kutumia d zako mbili iko wazi Simba walikimbia derby kisa wameshindwa kuroga uwanja, majeruhi ya key players na viongozi kukwepa kutimuliwa kwa kichapo mara ya tano.
Kazi ya CAS ni ndogo mno, kushusha rungu tu, derby ni mchezo mkubwa sababu za kuahirisha lazima ziwe kubwa na ziende na ushahidi kitu ambacho bodi na Simba hawana.
Hilo nalijua mtani, na nimekubaliana nawewe, ila makolo hatuwaelewi kuna wakati mlituongeza wenye akili uto wakawa watatu na Mzee magoma moto, kwahiyo mmemtoa tena?Yanga wenye akili wawili tu na wewe haumo
Tokalini ukashinda kesi wewe? Kuanzia BM3 na Kagoma hii ni mifano tosha, uzuri wa utopolo hata akipewa dudubaya wanawaongoza vizur tu. Wewe subiria simba akupangie tarehe kipigweHilo nalijua mtani, na nimekubaliana nawewe, ila makolo hatuwaelewi kuna wakati mlituongeza wenye akili uto wakawa watatu na Mzee magoma moto, kwahiyo mmemtoa tena?
Tukishinda kesi CAS tunaomba mtuongezee Hersi na Kamwe au vipi? Wawe wanne wenye akili!
Ila nakukumbusha nyie ni mbumbumbu wote mwenye akili msimbazi ni mmoja tu Mr Rage
Utaenda kucheza wewe na mangungo. ni kweli kesi zingine tulishindwa ila kesi hii mbumbumbu mmeingia cha kike nina uhakika uto tunashinda asubuhi tu na mtashushwa daraja, siku ingine mtaleta timu tuwakande khamsa kama kawa.Tokalini ukashinda kesi wewe? Kuanzia BM3 na Kagoma hii ni mifano tosha, uzuri wa utopolo hata akipewa dudubaya wanawaongoza vizur tu. Wewe subiria simba akupangie tarehe kipigwe
Acha ubwege . RubbishHabari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote za kuahirisha mchezo.
Soma Pia: CAS yapokea barua ya Yanga, TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC wapewa siku 10 kujibu
Kwa upande mwingine, Barua iliyoandikwa na Simba kwenda bodi ya ligi kisha kupelekea mchezo kuahirishwa imewatia hatiani Simba hivyo wote wawili wamebainika kula njama kukimbia derby.
Adhabu inaweza kufuata muda wowote.
Watu wameokoa nchi kuingia vitani, Kwani kulikuwa na viashiria vya uvunjifu wa Amani na mojawapo ya Timu kongwe kushushwa daraja.Habari za kikachero zimebainisha kwamba mpaka sasa kwa mujibu wa report zilizotumwa katika mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS) kutoka pande zote, mpaka sasa imebainika kwamba sababu za utetezi wa bodi ya ligi kuahirisha mchezo wa ligi tarehe 8 hazina mashiko, Hivyo hawakuwa na sababu zozote za kuahirisha mchezo.