Tetesi: CAS yabaini Bodi ya Ligi na Simba Sc zilikula njama kuahirisha mchezo halali wa ligi

Tetesi: CAS yabaini Bodi ya Ligi na Simba Sc zilikula njama kuahirisha mchezo halali wa ligi

Ila Yanga mnaishi kinyonge sana msimu huu. Nikikumbuka zile tambo za pre-season halafu nikaangalia sasa hivi nabaki tu nacheka.
 
Ila Yanga mnaishi kinyonge sana msimu huu. Nikikumbuka zile tambo za pre-season halafu nikaangalia sasa hivi nabaki tu nacheka.
Na kinachokuchekesha ni kipi labda,,timu imeondoa makocha 2 katikati ya msimu but pamoja na yote inaongoza ligi na inakwenda kubeba ndoo ya 4 mfululizo mbele ya wazee wa tunatengeneza timu!
 
Wala mihogo na stori zao za gahwa yule msomari atawachezesha shere mpaka mkome na mechi itarudiwa
 
Adhabu nzuri ni kwa Simba kufutwa kabisa na Yanga kuruhusiwa kucheza kombe la Dunia.
 
Mwaka 1968 pia kuna timu kati ya hizo mbili iliingia mitini wakati walipoenda mapumziko na kukimbia kipigo sasa naona ni kama historia imejirudia tena kinamna.
 
Hivi ukiwa yanga akili zinapotea,yanga hawajapeleka mashtaka rasmi CAS,na simba hawajaanza kunitetea.ninyi ni vilaza
 
Kwahiyo mtapewa points 3? 😀😀
 
Back
Top Bottom