Case of an immigrant mistreated by the judicial and prison system in Tanzania

Case of an immigrant mistreated by the judicial and prison system in Tanzania

Kwani nani kasema wewe ni mwanajeshi?
Ila ulipinga kitendo Cha wao kukaguliwa kabla hawajaingia.
Hata Mimi sio mwanajeshi ila wanaotaka kwenda uko wakaguliwe.

Jela Kuna watu wanaficha mpaka sigara kunako ndio maana Kuna ukaguzi.

Au unabisha kwamba Rectum haiwezi kubeba vitu.
huko jela sio mpaka ufiche sigara kwenye makalio ndo uipate .ukiwa na hela tu.unawatuma polisi.na vp wanajeshi wanaoanza ushoga wakiwa jeshini uwa wanakaguliwa tena?
 
Back
Top Bottom