Kwani nani kasema wewe ni mwanajeshi?
Ila ulipinga kitendo Cha wao kukaguliwa kabla hawajaingia.
Hata Mimi sio mwanajeshi ila wanaotaka kwenda uko wakaguliwe.
Jela Kuna watu wanaficha mpaka sigara kunako ndio maana Kuna ukaguzi.
Au unabisha kwamba Rectum haiwezi kubeba vitu.