Case study: Waliosoma english medium ni "wazuri" kuliko waliosoma shule za kawaida


If I were to choose to be petty, I wouldn't have needed your permission.

Jambo nililogusia ni watu wenye mazingira ya kuweza kwenda english medium schools wasioenda na uwezo wao wa kiingereza. Hizo ripoti nishazisoma na sijakiona hicho.

Nikakuuliza. Je, hilo limo?

Hujanijibu.

Kitu petty umeshindwa kukijibu kirahisi tu?
 
Nyani Ngabu Miguna kaanza lawyerly kwenye ICC, halafu kamchana kisawasawa Raila.

Hahahahahaaa.

Huyu jamaaa.

I can understand why Jeff has an audience, he gets interesting guests and he has that quasi gruelling style that balances the African penchant for reverence and a western penchant for confrontantional journalism.

Jeff anabadilika kulingana na mgeni wake.

Mkapa Scotches zinaonekana kwenye mishavu ile.

Mkapa akiongea, angalau anashawishi kwamba anajua conceptually nini anataka.

Kikwete in comparison, mara nyingi anakuwa kama anashindwa ku conceptualize na ku wing it, this was especially so miaka ya mwanzo.
 
Last edited by a moderator:
Somebody needs to Miguna Kikwete.

That would be a walk in the park

Let me enjoy the videos, albeit with having to watch an over made up Jeff, not to be morbid but watching Jeff is almost like watching a bad mortician's job

He seems to have a penchant for overdoing things.


'Multi-author' is grammatically sound for author can mean a person who writes books, articles, proposals, or a person who creates or starts something. Some say god is the author of life!

Yesterday you mentioned in passing, the Nigerian senator (former?) Patrick Obahiagbon. Now, I think something is wrong with this guy. I mean, who understands him?

Hebu muone hapa. What the hell is political kri kri nini sijui au political higi haga? Halafu watu wanasema eti PLO Lumumba ni bombastic. PLO ain't got nothing on this guy.


Hata hao panelists wengine pamoja na host(s) walibaki kuduwaa tu.
 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu Miguna kaanza lawyerly kwenye ICC, halafu kamchana kisawasawa Raila.

Unajua Miguna hata kama ana hoja kuhusu Raila, mimi naona huwa zinapotezwa na chuki aliyonayo dhidi yake. Jamaa anamchukia Raila utadhani Raila alimchapia mkewe!

Yaani kila fursa apatayo yeye ni kumchana Raila tu. Raila alimfanya nini huyo jamaa?
 
Unajua Miguna hata kama ana hoja kuhusu Raila, mimi naona huwa zinapotezwa na chuki aliyonayo dhidi yake. Jamaa anamchukia Raila utadhani Raila alimchapia mkewe!

Yaani kila fursa apatayo yeye ni kumchana Raila tu. Raila alimfanya nini huyo jamaa?

Kaenda deeper than Raila angalia circa 11:40 , kasema watu wanapenda personal drama, lakini yeye ana fundamental and philosophical differences katika ma issue ya governance, abuse of power, maladministration, ethics, moral turpitude with respect to Raila Odinga, anakwambia "you can't reduce it to personal disagreement".

Halafu naona kama ana harufu ya kutetea kina Ruto hivi katika ka narrative kake, inawezekana kuna some behind the scenes alliances za "mchane Raila tutakuachia usisumbuliwe au hata kukusaidia" ?

Or maybe he is just running his big opinionated lawyerly mouth with genuine opinions.
 

I can understand a "multi-author book" "multi-author blog" "multi-talented author" or "multi-platform author".

Lakini I am finding it hard to understand "he is a multi-author", labda kama ka author kitabu na software kidoogo unaweza kuitetea, napo "multi-talented author" is appropriate, like Jhiko Manyika is a "multi-talented artist" and not a "multi-artist" (he can sing, play the guitar and does impressively in fine arts).

Multi-artist inanipa image ya artist zaidi ya mmoja, as in a "multi-artist concert", similarly "multi-author" inanipa image ya several authors as in a "multi-author" book.

Miguna is just an author, even if he writes 100 books, he can be a "multi-book author" but I don't see how will that make him a "multi-author"

Huyo Mnaija hata wao wenyewe wanaopenda frivolous shows walimpiga chini, ni mbwiga fulani hivi ambaye alileta a comedy show bungeni.

Naona kakimbilia kwenye state governments huko kawa aide wa governor, watu wanamfagilia bado inaonekana.

Hao panelists na host wanamjua, imebidi kukaa tuli kumuelewa kwanza, maana anakuchanganyia mpaka ma Bermuda triangle na ma iceberg humohumo.Sio tu ana mix metaphors, ana mix different mixes za different metaphors halafu anapiga sommersaults kama Big Daddy Kane na kurudi kwenye track.

I suspect hizo texts zinazokuwa ascribed to PLO ni internet legends au alifanya kwa utani.
 
Last edited by a moderator:
Halafu naona kama ana harufu ya kutetea kina Ruto hivi katika ka narrative kake, inawezekana kuna some behind the scenes alliances za "mchane Raila tutakuachia usisumbuliwe au hata kukusaidia" ?

Yeah I caught a whiff of that too. But that shouldn't surprise anybody really.

He endorsed Uhuruto's presidential bid, he was a VIP guest at the inauguration and the after-party at state house, and some even speculate that he could be their witness at the ICC.
 

He talked about being ready to go to ICC on the first book and this interview, I think he aligned himself with power.
 
This Patrick guys is off the chain! It's hard to take him seriously.


 
Halafu watu wanamshangaa PLO !

Hapo hata Dr. Michael Eric Dyson hatii mguu.

Hata brother Cornell West haoni ndani. Patrick nahisi si mzima huyo. Sijui hata waliomchagua kuwawakilisha waliona nini kwake hadi wakampa kura zao. Au walivutiwa tu na huo msamiati wake?

 
Last edited by a moderator:

Nakubali hoja yako kabisa, ila teaching medium isiwe kiingereza, ila kiingereza kipewe umuhimu mkubwa katika kukifundisha kama masomo mengine
 
that's jeffs swagg or identity.i think it is one among the reason we love to watch his show.
 
Kuzungumza ni tofauti kabisa na kuandika. Mtu unapoandika mara nyingi unakuwa na muda zaidi wa kujipanga na kujitayarisha. Unaweza ukawa unaandika huku umerundika mi thesaurus pembeni ya kukusaidia.
.
bado naamini,sambamba na vigezo vingine,kiwango cha mtu katika kuiandika lugha flani kwa ufasaha,kina determine ni namna gani mtu huyo ni hodari ktk lugha hiyo na siyo lazima mpaka umsikie akiongea . kwa maana hiyo tunapo msifia member flani hapa jf kuwa ni mkali wa kizungu per the way anavyo andika post zake,sifa hizo ni fake?.mpaka tumsikie akiongea?.kumbuka baadhi yetu hapa hatujuani wala hatujawahi kuonana ana kwa ana.
 

Uhodari wa mtu katika lugha fulani ni umahiri wake katika kuitumia ku-transfer au kupokea information. So kusikia, kuongea, kuisoma na kuiandika. Mtu anaweza akawa mahiri kwenye all or any of these na tutamuita hodari in that context...
 
Uhodari wa mtu katika lugha fulani ni umahiri wake katika kuitumia ku-transfer au kupokea information. So kusikia, kuongea, kuisoma na kuiandika. Mtu anaweza akawa mahiri kwenye all or any of these na tutamuita hodari in that context...

ndio mana nikasema "sambamba na vigezo vingine", hayo yakiwemo.sasa jaribu kusoma post za Nyani Ngabu uone yeye anaamini kigezo gani ktk hili.....unaposema ku transfer au kopokea information,je wachina mathalani pale mtaa wa kongo kkoo wanao jua kutumia maneno mawili matatu ya kiswahili kutransfer na kupokea information nao tuwaiwete "mahodari wa kiswahili?!
 
Last edited by a moderator:
ndio mana nikasema "sambamba na vigezo vingine", hayo yakiwemo.sasa jaribu kusoma post za Nyani Ngabu uone yeye anaamini kigezo gani ktk hili.....

Wapi nimeandika kigezo ninachokiamini mimi? Muwage mnasoma na kuelewa basi. Kama hujaelewa unaomba ufafanuzi.
 
Wapi nimeandika kigezo ninachokiamini mimi? Muwage mnasoma na kuelewa basi. Kama hujaelewa unaomba ufafanuzi.

ungejibu kwanza swali lile pale juu ambalo nimekunukuu,ningekuonyesha wapi uliaandika "unachokiamnini".lakini kwa kuwa ume skip swali hilo na kukimbilia hili nilililo ku mention, haina neno.basi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…