Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Stop being petty for the sake of being different...naona huo ndio ugonjwa wako.
Umeleta vitu vingine kwenye mjadala ili uonekane uko tofauti. Naona umehamia bungeni kwetu!
I can smell an ego problem here...trying too hard too standout! Oh! Sijui nilikulia mazingira ya filamu na muziki wa Marekani, kuangalia runinga za nje miaka hiyo...so what?
Nimekwambia ripoti za Uwezo, Twaweza na Hali ya Afrika Mashariki zote zimekuwa zikizungumzia hilo jambo kila siku bado unaleta siasa za bunge letu.
Hoja ni early exposure na late exposure, majibu yako wazi kwenye nyanja yoyote ile.Kwa mfano kwenye mpira, wachezaji waliopitia academies za mpira wana advantage dhidi ya wale ambao hawakupata hio fursa. Sijawahi kusikia mtu amefanya statistical research kujua ni kwa asilimia ngapi kama wewe unavyodai!
Ila kama unataka kuonekana uko tofauti, in a different class go on and do the research to satisfy your obsession.
If I were to choose to be petty, I wouldn't have needed your permission.
Jambo nililogusia ni watu wenye mazingira ya kuweza kwenda english medium schools wasioenda na uwezo wao wa kiingereza. Hizo ripoti nishazisoma na sijakiona hicho.
Nikakuuliza. Je, hilo limo?
Hujanijibu.
Kitu petty umeshindwa kukijibu kirahisi tu?