LILENDI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 1,400
- 496
6. Wanafunzi waliosoma katika shule zinazofundisha kiswahili hawajawa na any added advantage katika matumizi ya lugha ya kiswahili katika kazi, elimu ya juu nk...
kwenye bold : nakupa pole. nimepata faida nyingi sana ktk maneo hayo uliyoyataja. be honest to yourself, please!
kuhusu ushauri uliotoa, serikali inafahamu kuwa walimu wa kiingereza kwa sekondari wanaofahamu kiingereza ni tatizo kubwa. huko primary watatoka wapi?
nimeshuhudia walimu wengi wa kiingereza wakitumia 90% kiswahili darasani wanapofundisha kiingereza.
je, serikali ifanye nini kukabiliana na tatizo la walimu wa kiingereza wasiojua kiingereza?
conclusion yako ina walakini kwani kufanya vizuri kwenye mitihani kuna sababu nyingi
1. kuwepo kwa mazingira rafiki ya kujifunzia na kufundishia.
2. kuwepo kwa nguvu kazi yenye ujuzi na ya kutosha (walimu)
3. kuwepo kwa nidhamu na maadili kwa walimu na wanafunzi.
kama kujua lugha ya kiingereza kunasaidia wanafunzi kufanya vizuri kwenye masomo yao na kwenye interviews, kwa nini sera ya lugha kwenye elimu ya sekondari na vyuo isibadilike na kuwa kiswahili ili watoto wa kitanzania wasibaguliwe na kuhukumiwa kwa kosa lisilo lao?