Case study: Waliosoma english medium ni "wazuri" kuliko waliosoma shule za kawaida

6. Wanafunzi waliosoma katika shule zinazofundisha kiswahili hawajawa na any added advantage katika matumizi ya lugha ya kiswahili katika kazi, elimu ya juu nk...

kwenye bold : nakupa pole. nimepata faida nyingi sana ktk maneo hayo uliyoyataja. be honest to yourself, please!

kuhusu ushauri uliotoa, serikali inafahamu kuwa walimu wa kiingereza kwa sekondari wanaofahamu kiingereza ni tatizo kubwa. huko primary watatoka wapi?

nimeshuhudia walimu wengi wa kiingereza wakitumia 90% kiswahili darasani wanapofundisha kiingereza.

je, serikali ifanye nini kukabiliana na tatizo la walimu wa kiingereza wasiojua kiingereza?

conclusion yako ina walakini kwani kufanya vizuri kwenye mitihani kuna sababu nyingi
1. kuwepo kwa mazingira rafiki ya kujifunzia na kufundishia.
2. kuwepo kwa nguvu kazi yenye ujuzi na ya kutosha (walimu)
3. kuwepo kwa nidhamu na maadili kwa walimu na wanafunzi.

kama kujua lugha ya kiingereza kunasaidia wanafunzi kufanya vizuri kwenye masomo yao na kwenye interviews, kwa nini sera ya lugha kwenye elimu ya sekondari na vyuo isibadilike na kuwa kiswahili ili watoto wa kitanzania wasibaguliwe na kuhukumiwa kwa kosa lisilo lao?
 
Kiukweli nashukuru Mungu na wazazi kupita english medium,ZINA MCHANGO MKUBWA SANA,
however mtu ukiwa determined haijalishi umesoma wapi

Hiyo ndio point, ila sie wa shule za Kayumba hata ukiwa determined ila struggling yetu inakua the hard way.
 
Najua tunapenda kiswahili kitumike kufundishia mashuleni lakini kwa mfumo wa elimu yetu uliopo, hupatakua na tija.
Nakubaliana na Tuko kwa kiasi fulani juu ya umuhimu wa watoto kusoma english medium kwa sababu:-

1. Masomo ya sekondari yanafundishwa kiingereza, na jinsi unavyokua na uelewa mkubwa wa lugha ina maana utaelewa zaidi kinachofundishwa.

2. Jamii yetu kwa asilimia kubwa tunaongea kiswahili, hii inafanya mtoto anaesoma shule za kawaida kuwa na kazi ya ziada kuwa vizuri kwenye kiingereza kutokana na mazingira yanayotuzunguka. (Kuna nchi watu wanaongea kiingereza kiasi kwamba hata kama hujaenda shule, lazima tu utaongea kiingereza kwa sababu asilimia kubwa wanakitumia)

Kwa kuwa tunafanya kazi na makampuni ya watu binafsi kutoka mataifa mbalimbali na kwa kuwa kiingereza ndio lugha inayotumiwa na makampuni hayo kuanzia kwenye usaili, ni wazi kwamba watu wenye uwezo wa kutumia kiingereza vizuri wataonekana kupata kipaumbele kwenye kuchaguiwa kupata kazi hata kama uwezo wao kiutendaji sio mzuri, wakati wa usaili hakuna muda wa kuonyesha ueledi wako wa kazi kwa vitendo. Unachofanya ni kuwashawishi tu kwamba uko safi.

Kama tunataka tutumie kiswahili mashuleni, inabidi tubadili mfumo wote wa elimu, tuweke msisitizo kwenye vitu vichache tunavyoviweza. Kwa mfano kuwafundisha watu Kilimo, Ufugaji, Ujasiriamali kwa kiswahili ni rahisi ukilinganisha na kufundisha masomo kama ya elektroniki, kompyuta, kwa kiswahili (Huwezi kukwepa kiingereza kwenye hayo masomo).

Ni kweli kiingereza hakimaanishi ufanisi au utendaji bora wa kazi lakini kina umuhimu sana kwenye kukupa ujasiri kwenye jamii na maeneo ya kazi.

1. watoto wa jamii masikini wataweza ada za english medium schools?
2. kama lugha inayotumika ktk maisha ya kila siku ndo inayoeleweka kwa mtoto, kwa nini apewe maarifa kwa lugha asiyoielewa?
3. kiingereza kifundishwe kama somo na walimu waliobobea ktk kiingereza, sio kama baadhi yao tulionao leo( from nurser scholls to colleges)

kuna mwalimu wa somo la kiingereza aliingia darasani,(STD VII) akaandika neno la kiingereza "ANYONE" ubaoni. akamchagua mwanafunzi asome neno hilo. mwanafunzi akalisoma kwa usahihi lakini mwalimu akamkosoa na kulisoma neno hilo kana kwamba neno lile ni la kiswahili.
 
Mkuu ndio maana nimesema hapojuu kwamba, tatizo sio tu kubadili lugha ya kufundishia ila ni mfumo mzima wa elimu yetu.
Mambo ya electroniki, Biolojia, kompyuta huwezi kuyafundisha kiswahili kirahisi. Nnachomaanisha ni kwamba hayo maarifa yenyewe tunayopewa tumeyapokea kutoka kwa wageni katika lugha ya kigeni.

Sio tu kiingereza, lugha yeyote ile ili uweze kuimudu ni lazima uitumie mara kwa mara isiishie tu darasani, na vile vile ikumbukwe kwamba ueledi wa lugha kitaalam na uwezo wa kuitumia lugha kwenye matumizi ya kawaida ya kila siku ni vitu viwili tofauti. Mtu anaweza kuwa anaongea sana kiswahililakini haimaanishi atafaulu mtihani wa somo la kiswahili.

Sokola ajira la siku hizi ni tofauti sana na awali ambapo serikali ndio ilikua mwajiri mkuu, na ilikua inaweza kulazimisha vigezo vyake kwenye suala la kuajiri. siku hizi mashirika mengi binafsi ndio waajiri wakuu. Na kwa kuwa kiingereza ndi lugha wanayoitumia huko, mtoto kutokua vizuri kwenye kiingereza itamuathiri tu kwa njia moja ama nyingine.

Nakubaliana na wewe kwamba hata waalimu wanaotufundisha somo lakiingereza wengi wao hawako vizuri sana kitu kinachoathiri ufanisi kwa wanafunzi wanaofundishwa. Wabgapi tunakumbuka mwalimu anatakiwa atumie kiingereza ila anasema "...I will use kiswahili in order to understand well..." kisha anaanza kubonga kiswahili.
 
blue: kuna kamusi za kutosha tu kule TUKI ktk nyaja hizo. kinacholeta shida hapa ni ukoloni mamboleo. hata kiingereza kilikuwa hakitumiki kwenye mfumo wa elimu (kirumi kilitumika). kimefika hapa kilipo baada ya wazalendo kukifanyia utafiti na kufanyia kazi mapendekezo ya utafiti. hivyo, english ina maneno kwenye fani mbalimbali kutoka lugha za kigeni, mfano kilatini, kiajemi, kijerumani, kiitaliano, n.k hatujachelewa.

black: uko sahihi mkuu. lugha ni matumizi. huwezi kuwa mmilisi wa lugha fulani bila kuwa na mazingira ya kuitumia. hata tukiamua kuendelea kuitumia lugha ya kiingereza kama lugha ya kufundishia, bila kuwafanya watoto wakakitumia ktk mazingira yanayowazunguka bado itakuwa vigumu kuimudu. mtu akiimudu lugha, inakuwa rahisi kupokea maarifa na kuwa mbunifu kwa lugha husika.

"...I will use kiswahili in order to understand well..." kisha anaanza kubonga kiswahili. then anaandika notes kwa kiingereza. kazi tunayo mkuu!
 
blue: kuna kamusi za kutosha tu kule TUKI ktk nyaja hizo. kinacholeta shida hapa ni ukoloni mamboleo. hata kiingereza kilikuwa hakitumiki kwenye mfumo wa elimu (kirumi kilitumika). kimefika hapa kilipo baada ya wazalendo kukifanyia utafiti na kufanyia kazi mapendekezo ya utafiti. hivyo, english ina maneno kwenye fani mbalimbali kutoka lugha za kigeni, mfano kilatini, kiajemi, kijerumani, kiitaliano, n.k hatujachelewa.

Kwanza kabisa, tukubaliane kwamba watoto wa kiafrika hasa tunaosoma shule za kawaida tunauwezo mkubwa sana wa kuelewa (Sifanyi dhihaka). Yaani jinsi tunavyofundishwa mambo mengi mtu unafanya kufikiria na kujenga picha tu, yaani yapo kinadharia zaidi. Naamini ili mtu uweze kutatua au kujibu swali vizuri, lazima uelewe swali kwanza, hebu piga picha swali linaulizwa kuhusu mapigo manne ya engine (Zingatia kuna watoto ambao hawajawahi hata kuiona hiyo engine) anaanza kujenga picha kichwani laiti tungekua na uwezo wa kuona kila mtu anawaza nini kichwani anapojaribu kujibu swali! lakini bado tunafaulu.

Wachina, wajerumani na nchi nyingine wameweza kutumia lugha zao kwa sababu wana wataalamu waliobobea kwenye taaluma zao. Kama mtu anaufaham/uelewa wa kitu nakwambia hata kama hajui kizungu atafanya kazi na hao wazungu kwa njia yeyote ile, just be the best in what you are doing.

Matatizo yetu sio tu kwenye lugha ila hadi kwenye namana ya ufundishaji yenyewe, vitendea kazi, uwezo wa waalimu wenyewe.
Ndio maana nasema tungeelekeza zaidi elimu yetu kwenye mambo ya kilimo, ufugaji, ujasiriamali, stadi za ufundi ingekua na tija zaidi. Hata tungeamuna kutumumia kiswahili tungefanikiwa sana kwa sababu tuna kila kitu na tunaweza fanya tafiti na majaribio mengi zaidi na tungepata elimu inaomsaidia mtu kuwa mtaalamu kwenye eneo husika.

Vinginevyo, tutaendelea kutengeneza kizazi chenye woga na kfikiria kuajiriwa zaidi badala ya kuweka msisitizo wa kuwa na ujuzi au uwezo wa kufanya kazi. Leo hii kuna watu wako tayari umuuzie cheti cha shahada, stashahada ya juu au cheti cha ngazi yeyote ile ilimradi tu ni kigezo kinachotakiwa ili kupata ajira hata kama hana uwezo wa hiyo fani.

Tungeelekeza zaidi juhudi zetu na rasilimali zetu kwenye vitu vichache ambavyo tunaweza kuleta tija na matunda yakaonekana.
 
bold: umenikumbusha wakati mwalimu wangu wa physics (nikiwa fomu 2 au 3) alipokuwa anaongelea mambo ya umeme wakati kijijini kwetu hakuna umeme. unaishia kusikiliza na kukariri tu unachoandika.

ukiachilia mbali tatizo la lugha ya kufundishia, mfumo wa elimu una matatizo makubwa. naamini umesikia tamko la serikali la kuwaruhusu wanafunzi waliofeli kidato cha 2- 2013, kuendelea kidato cha 3 badala kurudia mwaka kama serikali hiyo ilivyoweka mkakati wa kuboresha elimu 2012. kama ni kweli kt hili, wanaandaa ziro za kufa mtu 2015 halafu walimu watalaumiwa kwa hilo.
 
Endelea kujidanganya. No one wants kumuajiri bosi mkubwa anaongea "ze, ze" nyingi, labda serikalini na ofisi zisizo makini. Communication tena formal ni muhimu sana karbe hii na zijazo.
Nawaonaga wanavyopata ugumu kuparticipate vzr kwenye vikao au kuwasiliana kwa muda mrefu na client. Adi unaskia aibu.
 
bold: umenikumbusha wakati mwalimu wangu wa physics (nikiwa fomu 2 au 3) alipokuwa anaongelea mambo ya umeme wakati kijijini kwetu hakuna umeme. unaishia kusikiliza na kukariri tu unachoandika.

ukiachilia mbali tatizo la lugha ya kufundishia, mfumo wa elimu una matatizo makubwa. naamini umesikia tamko la serikali la kuwaruhusu wanafunzi waliofeli kidato cha 2- 2013, kuendelea kidato cha 3 badala kurudia mwaka kama serikali hiyo ilivyoweka mkakati wa kuboresha elimu 2012. kama ni kweli kt hili, wanaandaa ziro za kufa mtu 2015 halafu walimu watalaumiwa kwa hilo.

Kama kuna kitu serikali inatakiwa kukipa kipaumbele ni elimu. Unafikiri tutapate wataalamu watakaokua wanawaza jinsi gani ya kuzalisha umeme kwa gharama nafuu ili kuwauzia wananchi kwa bei ndogo kama tutaendelea kuzalisha wanafunzi wenye viwango duni vya uelewa?

Mbaya zaidi itafika kipindi hata kujiunga na vyuo vingine vya nje huenda ikwa kuwa ngumu kutokana na vigezo vyao.
Tatizo litakaloibuka kama serikali isipochukua hatua za dharura haraka ni kuibuka kwa hizo english medium nyingi zisito na ubora na kwa ubovu wa shule zetu wazazi wengi watajitutumua kuwapeleka watoto wao huko kwa kuwa hakuna njia mbadala.
 
that's jeffs swagg or identity.i think it is one among the reason we love to watch his show.

I on the other hand despise mixing hard news / topics and prima donnas theatrics.
 
Back
Top Bottom