Cash money

Cash money

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,356
Reaction score
38,922
wadau hebu nielewesheni kwa anaewajua hawa jamaa wa cash money i.e birdmann na kundi lake ni kweli wanamwaga dollars kwa wanawake kama inavyoonekana kwenye videos au it's not real na je ni kweli wana fedha sana?
 
Pesa wanazoo hizo video si wanaigizaa tu,ins maana hata movie za Anord we unaamini kua ni roboti
 
we jamaa nawe,ulishaona wapi mtu anamwaga hela ?
 
  • Thanks
Reactions: amu
""Televisions life always are not real"" like movie,music video
 
ile ni acting tu, japo nakumbuka jinsi Baby alivyomzalilisha Berckam kwa jeuri ya pesa Berckam alitamani kukimbia.
 
asanteni kwa mawazo yenu nimeelewa
 
mh! Birdman kumfanya beckham akimbie kwa jeuri ya pesa?hiyo ni ngumu kuamini coz kuhusu swala la pesa beckham ni tajiri kuliko birdman,beckham ana worth 300 m$ na birdam ana worth 160$.hapo birdman ataweza mfanyia beckham jeuri ya pesa mpaka akimbie?
 
Kwa pesa gani aliyonayo birdman kumfanya becks akimbie...explain that boss
 
Birdman ana nyimbo kali sana mmoja wapo ni huu "Born Stunna"
 
Nawaona tena wamekuja na lebel nyngne inaitwa RICH GANG na wametoa hits nyingine kama..Tapout,Bigger than life,Have it your way,We been on e.t.c
 
Back
Top Bottom