political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
Inawezekana mkuu, si unaona hizo za juu zimetoa.Kufungwa tatu first half japo inawezekana
10K kwa faida ya almost 2M ,biashara gani chini ya jua inakula hii?.. cash out weka mkela mwingineusi cashout.
NA hiyo million 2 usiingalie kabisa.
Ukiliwa unapoteza 10k, ukila unakula Millioni 18.
It worth the risk,,
Aisee wakamaria nawakubali sana muna roho ngumu mno yaani unakuta mwingine kaweka 5000 tu mkeka unasoma milion 19 ila imebaki game moja halafu cashout inasoma milion 3 unakuta mkamaria anakataa kucashoutMkuu usi cash out mimi nilikosaga 82m nikachukua cash out 5.7m timu ya mwisho ikashinda mvua mkeka ukatiki uwezi amini ile 5m niliiona kama elfu 50 niliumia sana mwezi mzima nina mawazo
Muda mwingine washkaji wanakupa ushauri kwa nongwa tu fikiria umeweka 5000 halafu cash out inaonekana milion 2 unakuta mtu anagoma kutoaBro nna kimkeka ambacho nilibet team 43 na stake niliweka 4k ikasoma digits ambazo hadi leo nashndwa kuelewa, mkeka nikaucha yaan sikuuchungulia kwel after 1wk nikauchungulia na kukuta cashout ni 3.8m nkaomba ushaur kwa wana wakasema tusubirie hadi mwisho ila kuna mmoja alikuja akanambia niache tamaa f4 imekupa 3.8m bado unang'angana na ambacho hujui kama kitakuja toa.! Kwel nikacashout kufika saa tano usiku tukinywa manyago yetu kuangalia timu niliyokuwa naiamini imepigwa kama mtoto na sio nyingne ni man city. Washkaji tena wakaanza kunicheka ati imekula kwangu washasahau wao ndo walisema nisi cashout bahati nzur nilikuwa nishakwida 3.8. Nilichowafanyia surely hadi leo tukikutana mda wa mabapa wanahakikisha wana hela mfukoni lna yule alo nishaur nitoe alipata kalaki akapita kushoto. Sasa na wewe cashout haraka afu ubeti hiyo timu ilobaki upya.
nakwambia cku hiyo niliwageuka bill zote walilipa wao na mda huo nimekuwa mkali siambiliki nikatoka nakuwaachia bill zote na nilisuja mpango na wahudumu wawabane walipe ila wasiwafanyie vurugu nakwambia wengne walilipa cmu zao hadi kesho yake ndo wakaenda kuzikomboa.Muda mwingine washkaji wanakupa ushauri kwa nongwa tu fikiria umeweka 5000 halafu cash out inaonekana milion 2 unakuta mtu anagoma kutoa
Naikumbuka hii mechi ilichezwa alfajiri hiviOy nakusihi sana chukua hiyo hela...
Portugal alituchania mkeka flani alitoa sativa Instagram ilikua dhidi ya Mexico alitakiwa apate goli 1 tu ili liligoma.. mechi ikaisha 0-0..
Watu walijuta sana
Hii ndo inanifanya nisicash out. Law of averages inakataa kwamba kila siku Portugal awe anazingua. Kesho anamnyeshea kibonde. NITARUDIOy nakusihi sana chukua hiyo hela...
Portugal alituchania mkeka flani alitoa sativa Instagram ilikua dhidi ya Mexico alitakiwa apate goli 1 tu ili liligoma.. mechi ikaisha 0-0..
Watu walijuta sana
Kabisa.Subiri 18m hakuna kucash out Bora usikilizie hata first half uone trend ikoje
Nachukua 18M kesho saa 3 usiku.Hivi hajachukua bado?
Aisee wakamaria nawakubali sana muna roho ngumu mno yaani unakuta mwingine kaweka 5000 tu mkeka unasoma milion 19 ila imebaki game moja halafu cashout inasoma milion 3 unakuta
Inaweza kutoa ngoja tuombe ashindeInawezekana mkuu, si unaona hizo za juu zimetoa.
Ureno anachana huu mkeka na huwezi amini. 1st half under 1.5Nachukua 18M kesho saa 3 usiku.