Ilo la Kiba na Dai lipo kwa washabiki wao tu na ex wao, unless na wenyewe wanaona poa kwa vile kazi zao zinapaa, na haswa limemsaidia Kiba zaidiBeef gani magumashi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu umetisha jokate siti ya daladala[emoji23][emoji23][emoji23]Ally Kiba wana bifu gani kama Jokate ni kama siti ya daladala ilo bifu magumashi ni kiki ya kupandia