Casper Nyovest na Akavworldwide wamaliza beef lao

Casper Nyovest na Akavworldwide wamaliza beef lao

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Wasanii nguli wa hip hop africa kusini waliokuwa na beef zito hatimae wamemaliza tofauti zako na kupatana
Kupatana huko kilithibitishwa jana wakati Cassper nyovest alipofanya show ya kihistoria kwenye uwanja wa mpira wa orando wenye kujaza watu zaidi ya 40,000
Aka alitokea kwenye show hiyo na kuonyesha sapoti kwa mwenzie, inasemekana girlfriend wa aka wanamitindo bonang mathleba alifanya kazi kubwa kuwapatanisha magwiji hao
Ikumbukwe mwaka jana Davido na Wizkid walimaliza beef lao lilikuwa linatikisa nigeria na africa.
Natumai alikiba na diamond watakuwa wamejifunza kitu
1477827418142.jpg

1477827440916.jpg

1477827449647.jpg
 
Wouldn't be too sure. Both these dudes are childish, and a mockery in hip-hop. Just give them some time.
 
Back
Top Bottom