Cassper Nyovest: Rapa pekee kutoka Afrika Kusini anayemiliki ndege Afrika

Achana na ndege anayomiki,mie nimependa boxer yake hahah! [HASHTAG]#povusitaki[/HASHTAG]
 
Hii chai hii. Utajiri wa dola za Marekani milioni tatu ndio amiliki ndege? Basi ingekuwa hivyo, huko angani kungekuwa na foleni kama Magomeni Mapipa.
Ndege amenunuliwa na kampuni aliyoingia nayo mkataba
 
Hii chai hii. Utajiri wa dola za Marekani milioni tatu ndio amiliki ndege? Basi ingekuwa hivyo, huko angani kungekuwa na foleni kama Magomeni Mapipa.
haaHaa....
 
Ahahahaa... Eti ramli lakini hakupaswa kuni block ule ni utoto kwa kweli ambao hata dogo janja hawezi kufanya

We ndio umeleta utoto kwani fedha zao zinakuhusu nini mpaka uwalinganishe? Yaani seriously umeenda kwenye page yake na kuandika humpati AKA kwa fedha? Man try to evaluate yourself hizo tabia za kijinga sana
 
Hii chai hii. Utajiri wa dola za Marekani milioni tatu ndio amiliki ndege? Basi ingekuwa hivyo, huko angani kungekuwa na foleni kama Magomeni Mapipa.
mimi nina 1.4$ million na siwazi kununua ndege maana najua bei yake ni $5 na point milion. eti 3. anunue ndege labda bawa moja la ndege
 
We ndio umeleta utoto kwani fedha zao zinakuhusu nini mpaka uwalinganishe? Yaani seriously umeenda kwenye page yake na kuandika humpati AKA kwa fedha? Man try to evaluate yourself hizo tabia za kijinga sana
Casper ni mtu anaependa sana showing off na anajionaga yeye ndio king of performance tangu aweke record ya kuujaza uwanja wa Orlando pirate na hivi juzi juzi wa FNB basi kila mara utaskia "your record breaker of live performance is here, time to shutdown the stadium again" halafu na mapicha picha kila mara, wakati AKA huwa hata akienda kupiga show Paris anapata nyomi la watu lakini huwezi kumuona akiweka caption za majigambo. Ndio maana mimi nikamwambia hawezi kufika level ya AKA kimuziki wala sio kimkwanja
 
Huyu jamaa nae pamoja na jina kubwa alilonalo lakini ana tabia za kswahili swahili tu.

Nilicomment kwenye page kuwa hawezi kufikia level ya AKA, jamaa lilivyokuwa puuzi eti lika ni block.

Ni lifala kweli kama bashite.
ndo ukome kuwa unapeleka akili za kishenzi ..kama nyiye team kiba100 mnamatatizo ya matusi sana... fuatilia life yako.
 
Huyu jamaa nae pamoja na jina kubwa alilonalo lakini ana tabia za kswahili swahili tu.

Nilicomment kwenye page kuwa hawezi kufikia level ya AKA, jamaa lilivyokuwa puuzi eti lika ni block.

Ni lifala kweli kama bashite.
Mkuu acha utani mtoto wa mama Aka Umlinganishe na cassper?? Your not serious.... Huyo AKA hata KO bado kamuacha mbali sana tu

Kama umeskiliza album ya THUTO utaelewa nachokisema.... Tuache ushabiki cassper is way ahead
 
Hata mimi ningekublock tu! Maana u mchawi
 
Tofautisha kati ya show of na uhalisia.... Yaani ina maana ukiongea ukweli ndio unajionyesha?? Watanzania shida tunapenda unafki unafki kma ni ukweli anajaza viwanja kwanni akisema muone ana show off??? Ulitaka adanganye kuwa huwa anajaza sebule na sio viwanja??

Funny
 
Acha nisikilize ngoma lake la Tito mboweni hapa huyu jamaa anajua sana
 
Mkuu acha utani mtoto wa mama Aka Umlinganishe na cassper?? Your not serious.... Huyo AKA hata KO bado kamuacha mbali sana tu

Kama umeskiliza album ya THUTO utaelewa nachokisema.... Tuache ushabiki cassper is way ahead
Mkuu ni kweli AKA anaweza kuwa mtoto wa mama kwani kwanza ametoka familia ya kishua huko Capetown, western cape tofauti na Casper aliyekulia kwenye mitaa ya vumbi huko mafikeng na hata kimuziki huyu casper amepitia shuruba nyingi sana hadi kufikia hapo alipo. Ila tu kwambia AKA amepata international recognition kwa ngoma zake alizosimama mwenyewe bila kutembelea kivuli cha mtu kama "mistake", " run jozi" na "in my walk" na hapo hakuna mtu aliyekuwa anamjua Casper nje ya south Africa, Casper amekuja kupata international recognition kwenye ngoma ya "doc tabeleze" mwaka 2014 na aliyemshirikisha twalib.

Na pia hata beef lao limemsaidia sana kumnufaisha Casper kuliko AKA na pengine labda alijua ni njia moja wapo ya yeye kukua kimuziki, na ndio maana alilianzisha yeye pale aliposema "haoni cha kujifunza kutoka kwa AKA" wakati yeye ndio amemtangulia, AKA amemdiss kwenye freestyle tu jamaa yeye akaenda kutoa track nzima kabisa anamdiss AKA! kiukweli Casper ana pigo fulani hivi za kishamba kama za 50 CENT.
 
Jamaa hana tofauti na diamond wa tandale, kujiona mjuaji na kuwadharau waliokutangulia na kuonyesha onyesha vitu utafikiri wengine hawatakuja kufifanya au kuwa navyo!

Mtu akikulia kwenye background duni ni mzigo akivipata huku mbeleni
 
Kama hamiliki passo huyo bado hajafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…