Casper ni mtu anaependa sana showing off na anajionaga yeye ndio king of performance tangu aweke record ya kuujaza uwanja wa Orlando pirate na hivi juzi juzi wa FNB basi kila mara utaskia "your record breaker of live performance is here, time to shutdown the stadium again" halafu na mapicha picha kila mara, wakati AKA huwa hata akienda kupiga show Paris anapata nyomi la watu lakini huwezi kumuona akiweka caption za majigambo. Ndio maana mimi nikamwambia hawezi kufika level ya AKA kimuziki wala sio kimkwanja