bia ni haramu wewe acha ujinga
Walevi mnapongezana tu!!
Mleta mada hazijui bia.EABL sio watengenezaji wa hiyo kitu kwa hapa nchini. Wala sio waliobuni pia
I hiyo bia sio kwamba ni tamu! Katika bia chungu castle lite ni ya pili baada ya safari!
castle light wanakunywa wanaonza kujifunza pombe na wagonjwa
Asante mama, huwa namshangaa sana mwanaume shababi akinywa hii kitu, kwenye glass unamimina kote kanaisha wengi wanafata mkumbo nao waonekane wanazo. Mnisamehe nitakaowakwaza wandugu
castle light ni majiya kunywa ukipata kiu
Hiki kibia kwanza mnaibiwa, ujazo ni mdogo lakini kinauzwa bei sawa na bia ya nusu lita, kilitakiwa kiuzwe buku tu minaipenda imenishindia hapo tu,ni kidogo na hakina stim halafu bei juu,wakati kodi inakatwa kwa lita, tbl wanawapiga na ushamba wenu
ndugu wabongo tunapenda jionyesha tunazo kumbe tunaibiwa kweupe,cku nikijisikia kupata light beer nakamata zangu kilimanjaro