Castle lite

Castle lite

SirBonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2010
Posts
378
Reaction score
435
Kwa research yangu ndogo niliyofanya ni kwamba hii beer inauzika sana siku hizi tangu imeingia sokoni mda mfupi uliopita.ukikaa Bar, Club au popote panapouzwa vinywaji, utaona watu wengi wanakunywa Castle lite.Je nini siri ya mafanikio haya? ni kwamba watu wengi walikuwa hawapendi ma bia machungu ila hawakuwa na option nyingine au? Big up EABL kwa ubunifu wa kibiashara uliotukuka
 
True castle lite ime take over especially kwa kina dada
 
Inawezekana kabisa hujawahi kunywa castle lite, maana hata mtengenezaji wake tu humjui! Na hiyo bia sio kwamba ni tamu! Katika bia chungu castle lite ni ya pili baada ya safari!
 
castle light wanakunywa wanaonza kujifunza pombe na wagonjwa

Asante mama, huwa namshangaa sana mwanaume shababi akinywa hii kitu, kwenye glass unamimina kote kanaisha wengi wanafata mkumbo nao waonekane wanazo. Mnisamehe nitakaowakwaza wandugu
 
Asante mama, huwa namshangaa sana mwanaume shababi akinywa hii kitu, kwenye glass unamimina kote kanaisha wengi wanafata mkumbo nao waonekane wanazo. Mnisamehe nitakaowakwaza wandugu

castle light ni majiya kunywa ukipata kiu
 
Hiki kibia kwanza mnaibiwa, ujazo ni mdogo lakini kinauzwa bei sawa na bia ya nusu lita, kilitakiwa kiuzwe buku tu minaipenda imenishindia hapo tu,ni kidogo na hakina stim halafu bei juu,wakati kodi inakatwa kwa lita, tbl wanawapiga na ushamba wenu
 
ndugu wabongo tunapenda jionyesha tunazo kumbe tunaibiwa kweupe,cku nikijisikia kupata light beer nakamata zangu kilimanjaro
 
ndugu wabongo tunapenda jionyesha tunazo kumbe tunaibiwa kweupe,cku nikijisikia kupata light beer nakamata zangu kilimanjaro

Uko sawa, wenyewe wanaona kama wanakunywa heineken, yaani ni kwasababu ya rangi tu ya chupa daa ushamba huu
 
Back
Top Bottom