Castle lite

Castle lite

ukienda kwenye harusi yenye biere za kumwaga, piga lite hazitakuzingua maana zile hata ka kreti, cha msingi ule ushibe vizuri, ila ukikuta za kuunga piga lager kitu kikubwa kama fire extinguisher. ila sio siri pombe tamu kila nikitaka kuacha
 
Back
Top Bottom