Casto na Suzie kama Jay Z na Beyonce

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Baada ya kuachana na mlimbwende Tunda sasa Mtangazaji Clouds TV, Casto Dickson amejikita kwa mtangazaji wa EATV, Suzie Benard ambaye kwa muda mrefu alikuwa mpweke hali iliyompelekea aanze kuongea mambo ya ajabu ajabu.



Naona watalaamu wa saikolojia wakamshuri apate mtu ndio Suzie akafanya bidii kumpata Casto ambae nae alionekana kuwa hoi flani baada ya kuachwa na Tunda.

Kwa mujibu wa Casto anataka yeye na Suzie wawe kama Jay Z na Beyonce wa huko ughaibuni
 
Casto mzee wa kuporwa mademu, kisha anakunywa pombe Kali mpka anazima wiki nzima. Hapo kwa Suzie machepele ndiyo atakufa kabisa
Kuna sehemu anafeli maana akiporwa anachanganyikiwa hapa kwa suzie itabidi ale dona na samaki mbichi na anywe sana mo energy maana suzie kila wakati anawaza kusokotana
 
Casto mzee wa kuporwa mademu, kisha anakunywa pombe Kali mpka anazima wiki nzima. Hapo kwa Suzie machepele ndiyo atakufa kabisa
kumbe unamfahamu vyema Casto Pombe kali zinampoteza sana atakuja kuzima mazima
 
Good thing ni kuwa simjui casto, simjui suzie, nimepotea jukwaa nilikuwa nakwenda kupumzika jukwaa la siasa nikajikuta nipo uku automatic. God forbid
Hahaha huwa lipo hili jukwaa mkuu na hao watu wapo huku kwetu wasalimie huko siasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…