uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Baada ya kuachana na mlimbwende Tunda sasa Mtangazaji Clouds TV, Casto Dickson amejikita kwa mtangazaji wa EATV, Suzie Benard ambaye kwa muda mrefu alikuwa mpweke hali iliyompelekea aanze kuongea mambo ya ajabu ajabu.
Naona watalaamu wa saikolojia wakamshuri apate mtu ndio Suzie akafanya bidii kumpata Casto ambae nae alionekana kuwa hoi flani baada ya kuachwa na Tunda.
Kwa mujibu wa Casto anataka yeye na Suzie wawe kama Jay Z na Beyonce wa huko ughaibuni