Wewe ni kama mimi.namlaum kweli mtoa uzi aweki picha.mi siwajui hao watu.Ni wakina nani tanzania hii.Ama ni wana mziki?wametoa nyimbo gani?habari bila picha inakuwa takataka flani hivi
Ni maneno ya casto mwenyewe akihojiwa na kwisa aliyasema kuwa anataka kutengeza brand kama ya jay z na beyonce ........uzi tayari
Good thing ni kuwa simjui casto, simjui suzie, nimepotea jukwaa nilikuwa nakwenda kupumzika jukwaa la siasa nikajikuta nipo uku automatic. God forbid
Sio sebuleni ni counter hapoPicha tafadhali...
Weka hata ile waliyokaa pamoja sebuleni wamevaa jezi zenye majina yao...
Cc: mahondaw
πππ tatizo casto ni kama fisi tu. Yeye hajui ni demu gani anatakiwa awe nae anakimbilia mademu expensive huku hela hana af anataka ajiweke mazima. Ngoja tuone huyu mfuga vuzi wataishilia nae wapiCasto mzee wa kuporwa mademu, kisha anakunywa pombe Kali mpka anazima wiki nzima. Hapo kwa Suzie machepele ndiyo atakufa kabisa
Yuko na mfuga vuzi kwa sasa πππππ. Yani anakuwa kama mtoto anaejifunza kuto.mba, ndio huwaga hawana standards wanatomba K yeyote ilimradi! Ngoja tule popcornHuyu casto mi sielewagi kama yupo rika ya ujana au mtu mzima..