Casto na Suzie kama Jay Z na Beyonce

Casto na Suzie kama Jay Z na Beyonce

Beyonce na Jay-Z wanahusika vipi hapa?
 
habari bila picha inakuwa takataka flani hivi
 
habari bila picha inakuwa takataka flani hivi
Wewe ni kama mimi.namlaum kweli mtoa uzi aweki picha.mi siwajui hao watu.Ni wakina nani tanzania hii.Ama ni wana mziki?wametoa nyimbo gani?
 
Demu kama Suzie kupata mwanaume anayejielewa inahitaji connection .
Na aina ya ntu kama casto kupata demu wa maana inahitaji connection vilevile
 
Beyonce na Jay-Z wanahusika vipi hapa?
Ni maneno ya casto mwenyewe akihojiwa na kwisa aliyasema kuwa anataka kutengeza brand kama ya jay z na beyonce ........uzi tayari
 
Wewe ni kama mimi.namlaum kweli mtoa uzi aweki picha.mi siwajui hao watu.Ni wakina nani tanzania hii.Ama ni wana mziki?wametoa nyimbo gani?
Huna sababu ya kulaumu unapaswa kushauri tu na picha inakuja
 
Demu kama Suzie kupata mwanaume anayejielewa inahitaji connection .
Na aina ya ntu kama casto kupata demu wa maana inahitaji connection vilevile
Labda kwa sasa wanaweza kuimarika na kujenga familia bora
 
Good thing ni kuwa simjui casto, simjui suzie, nimepotea jukwaa nilikuwa nakwenda kupumzika jukwaa la siasa nikajikuta nipo uku automatic. God forbid

Hii pia ni Siasa ila ni yakusokotana...[emoji1533]
 
Nikiingia kwenye sridi kama hii halafu nisikute picha yoyote najisikia kulia[emoji31][emoji31]
 
Casto mzee wa kuporwa mademu, kisha anakunywa pombe Kali mpka anazima wiki nzima. Hapo kwa Suzie machepele ndiyo atakufa kabisa
😂😂😂 tatizo casto ni kama fisi tu. Yeye hajui ni demu gani anatakiwa awe nae anakimbilia mademu expensive huku hela hana af anataka ajiweke mazima. Ngoja tuone huyu mfuga vuzi wataishilia nae wapi
 
Huyu casto mi sielewagi kama yupo rika ya ujana au mtu mzima..
Yuko na mfuga vuzi kwa sasa 😂😂😂😂😂. Yani anakuwa kama mtoto anaejifunza kuto.mba, ndio huwaga hawana standards wanatomba K yeyote ilimradi! Ngoja tule popcorn
 
Back
Top Bottom