Jimbo la Catalonia linalopigia Uhuru wake Kutoka nchini Spain Leo limetangaza timu yao ya Taifa itakayocheza na Venezuela tarehe 23 Machi
Timu hiyo itaongozwa na wazoefu Xavi Hernadez na Gerard Pique
View attachment 1050024
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hawatambuliki kokote kimichezo, si FIFA wala UEFAJimbo la Catalonia linalopigia Uhuru wake Kutoka nchini Spain Leo limetangaza timu yao ya Taifa itakayocheza na Venezuela tarehe 23 Machi
Timu hiyo itaongozwa na wazoefu Xavi Hernadez na Gerard Pique
View attachment 1050024
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Kama la Liga wamekataza wachezaji wake kucheza CataloniaBado hawatambuliki kokote kimichezo, si FIFA wala UEFA
Kifupi Catalunia ni kama Zanzibar flani hivi kutoka URT.
La Liga clubs refuse players permission to join Catalonia squad | Euronews
Hayo ni majibu ya maduro kwa kitendo cha spain kumtambua Guido kama raisi wa mpito wa Venezuela ambacho ni kinyume cha sheria .Jimbo la Catalonia linalopigia Uhuru wake Kutoka nchini Spain Leo limetangaza timu yao ya Taifa itakayocheza na Venezuela tarehe 23 Machi
Timu hiyo itaongozwa na wazoefu Xavi Hernadez na Gerard Pique
View attachment 1050024
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwanammke umetisha hahahWamchukue na messi