Catalonia yatangaza timu Yao Taifa kucheza na Venezuela

Catalonia yatangaza timu Yao Taifa kucheza na Venezuela

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Jimbo la Catalonia linalopigia Uhuru wake Kutoka nchini Spain Leo limetangaza timu yao ya Taifa itakayocheza na Venezuela tarehe 23 Machi
Timu hiyo itaongozwa na wazoefu Xavi Hernadez na Gerard Pique
54518049_2412839408778514_5633682673445634048_o.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jimbo la Catalonia linalopigia Uhuru wake Kutoka nchini Spain Leo limetangaza timu yao ya Taifa itakayocheza na Venezuela tarehe 23 Machi
Timu hiyo itaongozwa na wazoefu Xavi Hernadez na Gerard Pique
View attachment 1050024

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni majibu ya maduro kwa kitendo cha spain kumtambua Guido kama raisi wa mpito wa Venezuela ambacho ni kinyume cha sheria .
 
Hiyo timu huwa inacheza mechi xa kirafiki nyingi tu na huwa inatoa vipigo
 
Back
Top Bottom