Catherine Ruge apigwa chini BAWACHA

Catherine Ruge apigwa chini BAWACHA

..Catherine Ruge alijitahidi na ana msimamo.

..Mwenyekiti ajaye asimuache akapotea kisiasa.
Mwenyekiti ajaye ni Mbowe anajulikana kwa misimamo yake;huruma zake na ustahimilivu wake hawezi kumwacha Ruge.
 
Catherine Ruge ambaye alikuwa anawania ukatibu mkuu wa BAWACHA Taifa amepigwa chini na Pamela Maassay. Ruge alikuwa anamuunga mkono Mwamba.
Uchaguzi umekamilika kwa nafasi zote za BAWACHA ambapo

Team TALL Wajumbe 17
Team FAM wajumbe 16
Jumla 33

Huku Bavicha Team FAM Ikiibuka hohe hahe kwa kuambulia wajumbe wawili tu kati ya 33

Mpaka sasa joto la uchaguzi limepanda kuliko kawaida na msishangae mkamuona Mwamba ndani ya UHURU FM akiomba kura. Amepanga kusafiri mwendo wa ngiri kwenda kwenye vyombo vya habari kuomba kura baada ya kubaini hali ni tofauti kabisa.

Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100 Aambapo:

Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99
1. BAZECHA 33
-TAL 15
-FAM 18

2. BAWACHA 33
  • TAL 17
  • FAM 16

3. BAVICHA 33
  • TAL 31
  • FAM 2

Jumla TAL 63 na FAM 36.
Jumla TAL 63 na FAM 36.💪🏿💥👌🏿
 
Nyie pigeni hesabu zenu za Kalkuleta kama Yanga ila mkiingia graundi mtalia kama Yanga! Ahahahahaha!!!
 
Kuna mjumbe jana alimuuliza Sharifa kwa nini hawaelewani, yeye na Katibu wake? Labda kuna ukweli. Na hapa mwishoni Ruge alipotea sana.

Amandla...
 
Back
Top Bottom