Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Katibu Mkuu wa zamani wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Catherine Ruge amesema vyama vya siasa ni nyenzo muhimu ya kuhakikisha wanawake wanajengewa uwezo wa kuwania majimbo, lakini bado haviamini kama kundi hilo linaweza kusimama.
Ruge aliyewahi kuwa mgombea ubunge wa Serengeti, mkoani Mara, mwaka 2020 amesema mwanamke anaweza kushinda katika kura za maoni, lakini anaambiwa ampishe mwanamume ili yeye apewe viti maalumu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?
“Hii maana yake nini, hakuna utashi wa kisiasa, siyo tu kwenye vyama vingine hata kwenye chama changu. Muda mwingine hakuna utashi wa kisiasa wa kweli wa kuwasaidia wanawake.