GE2025 Catherine Ruge: Nimesikia sauti ya Mungu, nitagombea Serengeti

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
well done Catherine
 
hawa ndo walilalamika ccm inanunua wanasiasa wa chadema na kuwapa vyeo-- leo na wao ni viongzi chauma --- hawa ni wahuni
 
Kama ni MUNGU wa wanasiasa nakubaliana na ruge ila kama ni MUNGU alie hai sikubaliani na ruge!!!
 
Pumbavu hakuna cha Mungu hapa. As long as umikimbia chadema, hupati hata kura moja ukiondoa yako may be na ndugu zako
 
Yaani bodaboda ni nyingi kuliko wananchi. Cdm ilikuwa imejaza wasaka madaraka wakijafanya ni wataka mageuzi. Sasa ukweli uko wazi.
 
Akatafute pori alime.

Aache usanii.

Anapigania maslahi ya wananchi au anapigania maslahi ya TUMBO LAKE?
 
Huko serengeti wanamjua Catherine Ruge?
Huko Serengeti wanaijua Chaumma?

Aende tu CCM.
 
Huyu ni CPA (T). Such people do not grow on trees. Alikuwa anafanya nini CHADEMA such ruffinery?
 
Wanaendelea na Drama ngoja waendelee na drama wananchi wameshajua mbivu na mbichi. Halima Mdee yupo kimya anajua Upepo wa kuama vyama kunapoteza watu kwenye siasa kwa Umri wa Catherine ndo ameenda kuisha Nassari nae anapiga Chini UDC anaenda kuchukua Umbunge nilimshangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…