CBE college dsm campus

Madam zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
221
Reaction score
18
Hi,naomba msaada wa kimaandishi,,,kama kuna mtu anafahamu cbe dsm wanaanza lin usaili wa wanafunzi wapya wa degree na pia fomu za kujiunga zinapatikana wapi?na mpango mzima wa hostel uko vip?nawasilisha,nipo sitimbi sielewi chochote mana hata ktk web yao hawajaandika ki2 kuhusu usail
 
Kwa kweli kupata Hostel pale pale CBE ni ngumu sana, Form nadhani inapitakana pale pale Main Campus baada ya kulipia Bank.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…