Madam zero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 221
- 18
Hi,naomba msaada wa kimaandishi,,,kama kuna mtu anafahamu cbe dsm wanaanza lin usaili wa wanafunzi wapya wa degree na pia fomu za kujiunga zinapatikana wapi?na mpango mzima wa hostel uko vip?nawasilisha,nipo sitimbi sielewi chochote mana hata ktk web yao hawajaandika ki2 kuhusu usail