KERO CBE Dodoma hawatoi vyeti kwa ngazi ya Astashahada mpaka wamalize Stashahada

KERO CBE Dodoma hawatoi vyeti kwa ngazi ya Astashahada mpaka wamalize Stashahada

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha.

Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
 
Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha

Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
Lakini wakati unaomba si wanasema three years diploma, Sasa unahitaji katikati cha Nini wakati three years haijaisha bado.
 
Kabla ya kujiunga na chuo muwe mnasoma taratibu ni miongozo ya chuo husika.

Kila chuo kina namna yake na taratibu zake.
 
Back
Top Bottom