A Anonymous Guest Nov 19, 2024 #1 Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha. Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha. Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake.
Papaa Mobimba JF-Expert Member Joined Jan 27, 2018 Posts 882 Reaction score 3,337 Nov 21, 2024 #2 Kuwa wanalazimisha uendelee kusoma hapo hapo au?
G GOSSO MZEKEZEKE Senior Member Joined Dec 13, 2013 Posts 180 Reaction score 204 Nov 22, 2024 #3 Anonymous said: Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake. Click to expand... Lakini wakati unaomba si wanasema three years diploma, Sasa unahitaji katikati cha Nini wakati three years haijaisha bado.
Anonymous said: Ni jambo la ajabu kwa ngazi ya ya certificate kukosa cheti eti mpaka umalize diploma ndio upewe cheti. Hii haipo sawa na inatukwamisha kimaisha Tunaomba mtoe vyeti kwa wahitaji muache janja janja, kila ngazi ina cheti chake. Click to expand... Lakini wakati unaomba si wanasema three years diploma, Sasa unahitaji katikati cha Nini wakati three years haijaisha bado.
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,753 Reaction score 1,968 Nov 22, 2024 #4 Kabla ya kujiunga na chuo muwe mnasoma taratibu ni miongozo ya chuo husika. Kila chuo kina namna yake na taratibu zake.
Kabla ya kujiunga na chuo muwe mnasoma taratibu ni miongozo ya chuo husika. Kila chuo kina namna yake na taratibu zake.