Kenya machangu waliandamana kwa kunyanyaswa.kweli TZ tunaendelea
bado maandamo ya vichaa tu kupinga kufukuzwa mjini
na mwisho maandamano ya machangudoa na mateja kupinga kunyanyaswa
kila mtu siku hizi anajua 'haki zake' lol
Kenya machangu waliandamana kwa kunyanyaswa.
wanadai kua umalaya sio kosa kisheria (true in Kenya), kosa ni kuita wateja.
Ila kama wamekaa tu wakiwasubiri basi hamna kosa.
sasa wamechoka kutengwa katika jamii, kunyanyaswa na polisi,
kua harassed and abused na wateja etc. wanadai protection from the State.

Nimekuelewa, na ndio maana nilitaka kusema kua yamesha tokeathe fact kwamba tunazungumzia 'malaya kuandamana'
kwenye thread inahusu wanafunzi wa chuo.....
that speaks volume ya aina ya wanafunzi wa vyuo TZ inayo....
Ningesema: if the prostitute OR the customer are is in the street it is an offence.Kuna sheria moja ilikuwa inajaribu ku-control machangu to openly solicit customers in the street. Changu mwenyewe akajifanya mjanja, akawa ana anakaa ndani ya nyumba huku aki-tap dirishani to attract the attention of men walking by. Mahakamani akadai alikuwa hafanyi uchangu in the street. Hapo ungekuwa hakimu ungeamua kivipi?
Mie nataka kujua kama wataandamana wakiwa wamevaa hizo nguo zilizopigwa marufuku.
Hawa ndiyo wanafunzi wa high learning tulionao - kweli tutatoka?
Hawa ndiyo wanafunzi wa high learning tulionao - kweli tutatoka?
huyu mwenye kata K anapatikana wapi nikajifunze hahahahahaWanafunzi
wa College of Business Education wanatarajia kuandamana leo kupinga
sheria mpya chuoni hapo inayopiga marufuku uvaaji wa suruali
zinazobana, sketi, blouses na mavazi mengine yanayoacha wazi tumbo,
kifua na kiuno. Pichani hapo chini ni sehemu ya tangazo lenyewe hapo
chuoni likionyesha mifano ya mavazi yaliyopigwa marufuku.