Kwanza ninapenda kuupongeza Uongozi wa Chuo kwa kuliona hili,Kwenye vyuo vya Elimu ni sehemu ya kumkomboa mtu kimawazo,kimaadili,kivitendo,nidhamu na kiteknolojia,
Nina washauri wanafunzi wa CBE wasigome maana kuwa na sera ya mavazi ni jambo jema,Chuoni ni sehemu ya kuheshimika.Sehemu ya kutoa Taaluma na sivinginevyo,kwa hili Uongozi wa CBE,hongera sana,kazeni buti,matokeo yake mtayaona mbeleni,vijana watafaulu zaidi,na vijana watapona na hili janga la UKIMWI.
Nina viasa Vyuo vingine kama UDSM,OUT,MZUMBE,SUA,IFM,DIT,UDOM,kufuata nyayo za CBE za kuwa na DRESS CODE,na hili lisiwe ni ombi ambaye hataki kusoma aondoke,tunataka kujenga NCHI yenye maadili,hili pia liende hata mitaani watu wavae mavazi ya heshima kama wakati wa enzi Mwalimu,Mambo ya kutembea uchi tuwaachie wazungu,
Vijana wakigoma fanya fujo Uone(FFU) ndio KIBOKO yao.
Ninapenda kuungana na uongozi wa chuo cha CBE,kusema Kate K,Kimini,na kuonyesha vitovu sasa MWISHO,
KUWA MSOMI NI PAMOJA NA KUWA NA MAADILI MEMA KWENYE JAMII.