Sidhani kama kuna ukweli ktk hili la maandamano!
Bse lazima wapewe kibali na uko polisi watasema wanaandamana kwa ajili ya nini?Kutembea uchi?
Na kama wakiandamana ama sure wengi watakuwa mabinti ni kuwatafuta ring leaders na timua chuo wote pumbavu sana.
Wamekuja kusoma au kuinadi miili yao?
wanaoandamana kwa mambo ya maana si hawa mkuu wao wako kwenye show za mavazi wanasubili wenzao wapigane badala yao, wapuuzi kweli sijui kukaa mjini saana ndo kunawazuzua!?..tatizo lipo katika vipaumbele vya hawa wanafunzi wa cbe. Mbona mimi sijawahi kuwasikia wakiandamana kwa jambo lolote kabla? Ndo kusema kati ya mambo yote ambayo nchi yetu imepitia hivi karibuni, hili la mavazi ndo limewagusa sana? Hii ni aibu yetu wasomi!
Wanafunzi wa College of Business Education wanatarajia kuandamana leo kupinga sheria mpya chuoni hapo inayopiga marufuku uvaaji wa suruali zinazobana, sketi, blouses na mavazi mengine yanayoacha wazi tumbo, kifua na kiuno. Pichani hapo chini ni sehemu ya tangazo lenyewe hapo chuoni likionyesha mifano ya mavazi yaliyopigwa marufuku.
Weng hawajijui nafasi zao na matarajio yao

Haya maandamano yanapitia wapi?
huyu mwenye kata K anapatikana wapi nikajifunze hahahahaha
Sioni tatizo katika mavazi bana, kwani chuo ni cha Kanisa au madrasa hiyo? Utamlazimishaje mtu avae asivyotaka yeye sababu ya udhaifu wa watu flani? Hebu acheni udictator bana... Aaaaaaaarrrrrggg..!:car:
Wanafunzi wa College of Business Education wanatarajia kuandamana leo kupinga sheria mpya chuoni hapo inayopiga marufuku uvaaji wa suruali zinazobana, sketi, blouses na mavazi mengine yanayoacha wazi tumbo, kifua na kiuno. Pichani hapo chini ni sehemu ya tangazo lenyewe hapo chuoni likionyesha mifano ya mavazi yaliyopigwa marufuku.
Watu wengine wanadhani wamepewa madaraka ili wawatawale wenzao - .. hadi namna ya kuvaa! Ok, Wakataze pia uvaaji wa kaunda suti (yanachora matumbo ya wanaume) na wanaume wasivae mashati ya vitenge (mashati ya kike)!
.Tanzania hii inakera kinomba asee, kama tupo SaudiA. Khaaaa! Waacheni watu wajivalie watakavyo bana..!!