CBE kuanzisha Masters& PhD mwakani

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Chuo cha Elimu ya biashara (CBE)kinatarajia kuanzisha kozi za shahada ya Pili(Masters)hususani fani za biashara MBA na shahada ya uzamivu (PhD) kuanzia mwakani 2014.kiukweli habari hii ni njema kwetu sisi tuliohitimu hapo CBE maana wanasema tutapewa upendeleo maalum kwenye admission kuliko tunavyobaguliwa na vyuo vingine eti sisi toka CBE ni feki. Hongereni uongozi wa CBE kwa maamuzi hayo.
 
hivi pale wanatoa degree, au wameruka hadii masters na phd wakati degree haipo? just curious siongei kama kukebehi, anayejua tafadhali anieleweshe.
 
PhD ,MASters, cbe ni bora ubaki na degreemoja kuliko kusoma CBE
 
Acha tukachukue vyeti vya bure CBE sisi tumechoka UDSM elimu kama vita, mimi ntaichangamkia hiyo nafasi ili nipate cheti hicho haraka maana Kampala international university(KIU) niliikosa na KIU ishafungiwa kutoa hizo program.
 
ngoja mikachukue foem ya phd.. hatimaye nami kuitwa dr
 
hahaha CBE na phd wap na wap....degree yenyewe wanabebwa,mi csomi CBE kamwe hapo ni Majanga+...watasoma wenyew wahtm wa CBE
 
Sasa tuwemakini na elimu ya tz sasa cbe phd huo si wizi
Kijana CBE siyo ile unayoifahamu wewe,kuna changes za kufa mtu saizi ever since kaja Prof.Mjema as Rector.Nakushauri acha kufuraisha wanaJf tembelea na uulizie watu waliopo recently.
 
hivi hawa waha wote wenye tabia ya kuiponda chuo fulani kwa madai mbalimbali huwa wanakuwa na any fact?hawajasoma hicho chuo,si wadau TCU,si wataalam wa kuchanganua units za chuo yeyote,sasa wanakashifu vyeti vya vyuo vingine kwa mantiki ipi?utakuta wanaiponda chuo ambacho kilikuwepo kabla ya yeye kuzaliwa na kimetoa wataalamu wengi kiasi hata baadhi ya malecturer wake wamehitimu hicho chuo,sasa unapoiponda maana yake hata na we degree yako ina walakini,sidhani na wala siamoni serikali haifanyi kazi yake kwa kiasi hicho,tuacheni ushambenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…