Chuo cha Elimu ya biashara (CBE)kinatarajia kuanzisha kozi za shahada ya Pili(Masters)hususani fani za biashara MBA na shahada ya uzamivu (PhD) kuanzia mwakani 2014.kiukweli habari hii ni njema kwetu sisi tuliohitimu hapo CBE maana wanasema tutapewa upendeleo maalum kwenye admission kuliko tunavyobaguliwa na vyuo vingine eti sisi toka CBE ni feki. Hongereni uongozi wa CBE kwa maamuzi hayo.