cbe mwanza kuanza kutoa degree

cbe mwanza kuanza kutoa degree

Dodoma moja

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
307
Reaction score
182
Ndugu wadau, chuo cha biashara(cbe) tawi la mwanza kuanza kutoa degree mwaka huu kuanzia mwez wa tatu kwani kwa kawaida chuo hiki huwa na intake mbili yaan wanaoingia mwez wa tatu na wanaoingia mwez wa tisa hivyo basi wale wa kanda ya ziwa wanaohitaji kujiunga na chuo hiki wakae mkao wa kula badala ya kwenda dodoma au dar sasa watasoma mwanza. Hayo yalisemwa na mkuu wa chuo hicho katika mahafal yaliyofanyika mwaka jana
 
Mkuu, binafsi nimekupata. Ingawa nina mawili ya kusema 1. Imekuwaje habari ya Mwaka jana unaileta mwaka huu? 2. CBE wanatakiwa, kwa haraka iwezekanavyo, wafanyie kazi PR yao kwa sababu baadhi ya Wadau, nikiwemo mimi, ninatilia mashaka ubora wa Elimu wanayoitoa!
 
Ni za mwaka jana lakin faida zake ni endelevu, pia wenye mamlaka wa kutilia shaka ubora wa elimu katika chuo chochote ni tcu bas lakin wewe hayo ni mawazo yako pengine yameambatana na chuki binafsi hivyo hayana msingi
 
Ndugu wadau, chuo cha biashara(cbe) tawi la mwanza kuanza kutoa degree mwaka huu kuanzia mwez wa tatu kwani kwa kawaida chuo hiki huwa na intake mbili yaan wanaoingia mwez wa tatu na wanaoingia mwez wa tisa hivyo basi wale wa kanda ya ziwa wanaohitaji kujiunga na chuo hiki wakae mkao wa kula badala ya kwenda dodoma au dar sasa watasoma mwanza. Hayo yalisemwa na mkuu wa chuo hicho katika mahafal yaliyofanyika mwaka jana

Kwanza watafute campus ya kueleweka. Waache kubanana hapo katikati ya jiji, hawaoni wenzao Tanesco wamehama?
 
Kuna mount meru university nao wanacampus mwanza

Kwan tawi la mount meru wanatoa degree mkuu tangu lini? kwa taarifa nilizonazo mimi ni kuwa wanatoa cheti na diploma tu.
 
Back
Top Bottom